Episode 3: Majipu ya Magu – Utamaduni wa ‘Punda haendi bila kiboko’ na athari zake katika maendeleo
Punda haendi bila kiboko: Uhusiano baina ya adhabu ya viboko shuleni na nidhamu ya kubeba majukumu pamoja na ufanisi katika utendaji kazi ukubwani. Nini chanzo cha utendaji mbovu wa wafanyakazi serekalini na kwingineko? Je, ni kwa kiasi gani adhabu ya kiboko humfunza mtoto katika malezi? Sikiliza sehemu hii ya tatu uyajue hayo. https://archive.org/download/Episode3_20180312/Episode%20%233.mp3