Logo

    food for education

    Explore " food for education" with insightful episodes like "Mlo shuleni umeongeza idadi ya wanafunzi wangu shule ya Salama: Mwalimu Beatrice Nyakoa Osaka", "Mlo shuleni umeongeza idadi ya wanafunzi wangu shule ya Salama: Mwalimu Beatrice Osaka" and "Ep 6. Bhawani Singh Shekhawat, CEO The Akshaya Patra Foundation UK: The Indian disrupter tackling food poverty in schools" from podcasts like ""Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu", "Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu" and "The Charity CEO Podcast"" and more!

    Episodes (3)

    Mlo shuleni umeongeza idadi ya wanafunzi wangu shule ya Salama: Mwalimu Beatrice Nyakoa Osaka

    Mlo shuleni umeongeza idadi ya wanafunzi wangu shule ya Salama: Mwalimu Beatrice Nyakoa Osaka
    Shule ya Salama iliyo katika eneo la Huruma karibu na mtaa wa mabanda wa Mathare jijini Nairobi Kenya hivi karibuni imeanza programu ya mlo shuleni kupitia mradi wa kampuni ya ‘Food for Education”. Hatua hiyo imenfa idadi ya wanafunzi wanaosoma shule hiyo kuongezeka kutoka 1, 900 hadi 2,300. Mlo shuleni ni moja ya masuala ambayo yanapigiwa debe kubwa na Umoja wa Mataifa sio tu kwa sababu ya kuhakikisha lishe bora kwa mamia ya maelfu ya wanafunzi ambao wengi hawawezi kupata mlo nyumbani bali pia kuongeza idadi ya watoto wanaohudhuria masomo. Stella Vuzo afisa habari wa kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa nchini Kenya UNIS Nairobi amefunga safari hadi shuleni Salama na kuzungumza na mwalimu mkuu wa shule hiyo Beatrice Nyakoa Osaka anayeenza kwa kufafanua umuhimu wa mradi huo shuleni kwake hasa kutokana na eneo walipo.

    Mlo shuleni umeongeza idadi ya wanafunzi wangu shule ya Salama: Mwalimu Beatrice Osaka

    Mlo shuleni umeongeza idadi ya wanafunzi wangu shule ya Salama: Mwalimu Beatrice Osaka
    Shule ya Salama iliyo katika eneo la Huruma karibu na mtaa wa mabanda wa Mathare jijini Nairobi Kenya hivi karibuni imeanza programu ya mlo shuleni kupitia mradi wa kampuni ya ‘Food for Education”. Hatua hiyo imenfa idadi ya wanafunzi wanaosoma shule hiyo kuongezeka kutoka 1, 900 hadi 2,300. Mlo shuleni ni moja ya masuala ambayo yanapigiwa debe kubwa na Umoja wa Mataifa sio tu kwa sababu ya kuhakikisha lishe bora kwa mamia ya maelfu ya wanafunzi ambao wengi hawawezi kupata mlo nyumbani bali pia kuongeza idadi ya watoto wanaohudhuria masomo. Stella Vuzo afisa habari wa kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa nchini Kenya UNIS Nairobi amefunga safari hadi shuleni Salama na kuzungumza na mwalimu mkuu wa shule hiyo Beatrice Nyakoa Osaka anayeenza kwa kufafanua umuhimu wa mradi huo shuleni kwake hasa kutokana na eneo walipo

    Ep 6. Bhawani Singh Shekhawat, CEO The Akshaya Patra Foundation UK: The Indian disrupter tackling food poverty in schools

    Ep 6. Bhawani Singh Shekhawat, CEO The Akshaya Patra Foundation UK: The Indian disrupter tackling food poverty in schools
    “We are all born geniuses and the purpose of human life is to find an interface for that genius... and food can truly be the catalyst for that interface.” 3.5 BILLION meals and counting... Bhawani Singh Shekhawat is the Chief Executive of The Akshaya Patra Foundation UK. The Foundation started 20 years ago in India, to tackle the dual issues of classroom hunger and access to education for disadvantaged children. The Foundation’s guiding vision is that no child should be deprived of an education because of hunger. This is the remarkable story of how The Akshaya Patra Foundation grew from serving meals to 1,500 students, to serving over 3.5 billion meals to date, through the creation of an internationally award-winning Food for Education Programme. The Akshaya Patra Foundation is today, highly acclaimed as the world’s largest non-profit run Mid-day Meal Programme, serving about 2 million meals daily. Its work has been recognised by the World Economic Forum, it has been formulated as a Case Study at Harvard Business School and in 2019 the Foundation received the BBC Global Food Champion Award. The Akshaya Patra Foundation is now expanding its work in the UK, serving free, nutritious food to the homeless and to children vulnerable to food poverty, during school holidays. In this episode Bhawani talks about the importance of food and how it plays a key role in creating a better society. He demonstrates how through the power of great questions, organisations and individuals can access more of their genius. And he highlights powerful lessons in leadership along the way.
    Logo

    © 2024 Podcastworld. All rights reserved

    Stay up to date

    For any inquiries, please email us at hello@podcastworld.io