Usimhuzunishe Roho Mtakatifu
Roho Mtakatifu ni mshauri mpole na mwenye amani. Joyce anafundisha jinsi tunavyohitaji kutengeneza mazingira sawa katika maisha yetu ili kumruhusu Roho Mtakatifu kufanya kazi ndani yetu.
Explore "rohomtakatifu" with insightful episodes like "Usimhuzunishe Roho Mtakatifu", "Roho Mtakatifu Wa Ajabu 2", "Roho Mtakatifu Wa Ajabu 1", "Kusikia Sauti Ya Roho Mtakatifu 2" and "Kusikia Sauti Ya Roho Mtakatifu 1" from podcasts like ""Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer", "Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer", "Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer", "Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer" and "Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer"" and more!
Roho Mtakatifu ni mshauri mpole na mwenye amani. Joyce anafundisha jinsi tunavyohitaji kutengeneza mazingira sawa katika maisha yetu ili kumruhusu Roho Mtakatifu kufanya kazi ndani yetu.
Mungu ana uwezo wote, na kwa njia ya Roho Mtakatifu, hutuwezesha kuishi maisha ya ujasiri kwa ajili yake.
Katika kipindi cha leo, Joyce anafundisha kuhusu umuhimu wa kuongozwa na Roho Mtakatifu na jinsi hilo linavyoathiri maisha yetu ya kila siku.
Mfalme Daudi alitenda vibaya. Lakini kila wakati aliudumisha moyo uliotamani sana kufanya mapenzi ya Mungu.
Je! Una mawazo au tabia zinazomhuzunisha Roho Mtakatifu? Joyce anafundisha jinsi hii inaweza kukuzuia kukua katika imani yako.
Joyce anafunza jinsi nguvu ya Roho Mtakatifu inakaa ndani yako ili kukuwezesha kufanya chochote ambacho Mungu anahitaji ufanye.
Wasiyeamini hawawezi kamwe kumwona Yesu isipokuwa wamwone ndani yako. Jifunze jinsi ya kuangalia zaidi ya maumivu yako na uache nguvu ya Roho Mtakatifu iangaze kupitia wewe.
Joyce anafundisha kwamba ikiwa tunavaa silaha zote za Mungu, tuna nguvu na mamlaka ya kushinda mpango wowote wa adui.
Adui ana nguvu, lakini sisi kama waumini tuna nguvu na mamlaka ya Yesu Kristo.
Stay up to date
For any inquiries, please email us at hello@podcastworld.io