Moyo Wangu, Nyumba ya Kristu 2
Jitolee Mwili wako kwa Bwana. ( Warumi 12:1-2 ) Kila chumba ndani ya nyumba (miili yetu) inahitaji kuchunguzwa. Chumba cha kula, Sebule, Chumba cha kulala n.k.
Explore "tumainikatikakristo" with insightful episodes like "Moyo Wangu, Nyumba ya Kristu 2", "Moyo Wangu, Nyumba ya Kristu 1", "Kufa ili Uishi 2", "Kukabiliana na woga na kupata uhuru 2" and "Kukabiliana na woga na kupata uhuru 1" from podcasts like ""Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer", "Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer", "Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer", "Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer" and "Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer"" and more!
Jitolee Mwili wako kwa Bwana. ( Warumi 12:1-2 ) Kila chumba ndani ya nyumba (miili yetu) inahitaji kuchunguzwa. Chumba cha kula, Sebule, Chumba cha kulala n.k.
Sisi ni Hekalu la Roho Mtakatifu. Je, Mungu anahisi "nyumbani" ndani yetu? Kristo ndani yetu, Tumaini la Utukufu!
Ijumaa daima huja kabla ya Jumapili. Hatupaswi kutarajia kufikia furaha bila kupitia maumivu fulani kwanza.
Usiruhusu hofu itawale maisha yako tena! Gundua ukweli mmoja ambao unaweza kuwa umekosa katika maisha yako.
Endelea kusonga mbele katika kile ambacho Mungu amekuitia kufanya kwa kujifunza jinsi ya kushinda woga na kupata uhuru katika Kristo.
Je! Unatambua kuwa mtazamo wako unatuma ujumbe kwa adui? Je! Yako inamwambia anashinda au anashindwa?
Stay up to date
For any inquiries, please email us at hello@podcastworld.io