Kuishinda huzuni na upweke
Je, maumivu katika siku zako za nyuma yamekuwa sehemu ya utambulisho wako? Jifunze jinsi unavyoweza kuanza upya baada ya kupitia uchungu.
Explore "utambulisho" with insightful episodes like "Kuishinda huzuni na upweke", "Zaidi ya Washindi 2", "Zaidi ya Washindi 1", "Vitu Sita vya Kusema kwa Kukusudia 1" and "Moyo Wangu, Nyumba ya Kristu 2" from podcasts like ""Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer", "Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer", "Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer", "Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer" and "Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer"" and more!
Je, maumivu katika siku zako za nyuma yamekuwa sehemu ya utambulisho wako? Jifunze jinsi unavyoweza kuanza upya baada ya kupitia uchungu.
Joyce anafundisha kwamba tunaweza kuishi kwa kujiamini, si kwa woga, kwa sababu Mungu amekwisha suluhisha tatizo letu kabla hata hatujapata.
Ili kuwa washindi katika vita vya maisha, ni lazima tukae safi katika ufahamu wa sisi ni nani ndani ya Kristo.
Baadhi ya maneno muhimu sana utakayowahi kutamka ni yale unayosema kujihusu mwenyewe. Jifunze kunena Neno la Mungu katika maisha yako na kupokea nguvu zake.
Jitolee Mwili wako kwa Bwana. ( Warumi 12:1-2 ) Kila chumba ndani ya nyumba (miili yetu) inahitaji kuchunguzwa. Chumba cha kula, Sebule, Chumba cha kulala n.k.
Sisi ni Hekalu la Roho Mtakatifu. Je, Mungu anahisi "nyumbani" ndani yetu? Kristo ndani yetu, Tumaini la Utukufu!
Mungu hakukusudia ujipime uthamani wako kwa jinsi unavyoonekana na unavyohisi au kwa kujilinganisha na wengine. Ni wakati wa kugundua thamani yako ya kweli iko wapi.
Kipindi cha leo kitakupa changamoto ya kuachilia hali yako ya kutokuwa na usalama na kushikilia utambulisho mpya ulio nao katika Kristo.
Usijaribu kuwa vile watu wengine walivyo. Gundua kile neema ya Mungu imekujalia kufanya.
Stay up to date
For any inquiries, please email us at hello@podcastworld.io