Logo

    Mwanamke wa kazi's Podcast

    Ungana na mwandishi na mtangazaji Aloycea Ngunyali kila wiki akiibua na kuzungumzia changamoto mbalimbali za kijinsia na jamii.  Atazungumza na wadau na wanajamii kwa lengo la kuzijadili changamoto hizi na ufumbuzi wake.  Lengo la podcast hii ni kujenga jamii yenye usawa.

    sw3 Episodes

    People also ask

    What is the main theme of the podcast?
    Who are some of the popular guests the podcast?
    Were there any controversial topics discussed in the podcast?
    Were any current trending topics addressed in the podcast?
    What popular books were mentioned in the podcast?

    Episodes (3)

    JINSI MALEZI NA JAMII HUATHIRI MITAZAMO YA KIJINSIA KATIKA UCHAGUZI WA KAZI ZA KITAALUMA

    JINSI MALEZI NA JAMII HUATHIRI MITAZAMO YA KIJINSIA KATIKA UCHAGUZI WA KAZI ZA KITAALUMA

    Katika kipindi hiki utasikia maoni ya watu mbalimbali juu ya mitazao yao kuhusu kazi za kike na za kiume. Pia tumeongea na watu ambao baadhi ya watu katika jamii inawatazama kama wanafanya kazi za jinsia nyingine  pia wadau na wataalamu wa maswala ya kijinsia wakielezea changamoto ya kugawa kazi za kitaaluma kijinsi na nini cha kufanya kuondoa mgawanyo huu.  

    Logo

    © 2024 Podcastworld. All rights reserved

    Stay up to date

    For any inquiries, please email us at hello@podcastworld.io